Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Marasimu za kumkumbuka Shahidi Mirza Kuchak Jangali pamoja na mashahidi 34 wa wanachuoni na maulamaa wa upande wa magharibi wa mkoa wa Gilan zimefanyika leo, Jumanne (3 Azar 1404), katika mji wa Someh-Sara. Hafla hii imehudhuriwa na Ayatollah Ramazani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s), ambaye pia alitoa hotuba kuu ya maadhimisho hayo.

24 Novemba 2025 - 21:19

Maadhimisho ya Shahidi Mirza Kuchak Jangali na Mashahidi 34 wa Wanazuoni na Maulamaa wa Magharibi mwa Mkoa wa Gilan +Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha